Simba damu fans Simba damu fans Author
Title: SIMBA YAENDELEZA USHINDI KOMBE LA MAPINDUZI
Author: Simba damu fans
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba SC usiku huu imeendeleza ushindi katika kombe la Mapinduzi huko Zanzibar ba...
Timu ya soka ya Simba SC usiku huu imeendeleza ushindi katika kombe la Mapinduzi huko Zanzibar baada ya Kuifunga timu ya KVZ kwa goli 1-0 katika mchezo wa kundi A uliochezwa kwenye uwanja wa Amani.

Goli pekee la mchezo huu lilifungwa na Mzamiru Yasin katika dakika ya 44 baada ya kuunganisha vyema pasi ya Abdi Banda.

Huu ni Ushindi wa pili  kwa Simba katika kombe hilo.Simba sc mpaka sasa imefikisha pointi  sita ikiwa  na goli 3 za kufunga na goli 1 la kufungwa

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top