Simba damu fans Simba damu fans Author
Title: MAVUGO AIPELEKA SIMBA NUSU FAINALI
Author: Simba damu fans
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc leo imeendeleza ushindi katika kombe la mapinduzi baada ya kuifunga timu ...
Timu ya soka ya Simba sc leo imeendeleza ushindi katika kombe la mapinduzi baada ya kuifunga timu ya Jangombe kwa magoli 2-0 katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Amani.

Magoli yote mawili yalifungwa na Laudit Mavugo, Simba sc imeweza kumaliza kileleni Mwa kundi A ikiwa  na pointi  10 na haijapoteza mechi yoyote.

Simba ilifanya mabadiliko katika mchezo huo kwa kuwatoa Janvier Bokungu. Juma Luizio, Laudit Mavugo na  Moses Kitandu. Shizya Kichuya na nafasi zao kuchukiwa na Jamal Mnyate,Costa, Hijja Ugando na Moses Kitandu.

Simba atakutana na Yanga keshokutwa katika nusu fainali ya pili  ya michuano hiyo itakayopigwa saa 2:15 Usiku.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top