Simba damu fans Simba damu fans Author
Title: KOMBE LA MAPINDUZI : URA NA SIMBA ZATOKA SARE
Author: Simba damu fans
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc jioni ya leo imetoka sare ya bila kufungana na timu ya URA kutoka nchini...

Timu ya soka ya Simba sc jioni ya leo imetoka sare ya bila kufungana na timu ya URA kutoka nchini Uganda katika mchezo wa michuano ya kombe la mapinduzi.

Simba sc ilifanya  mabadiliko kwa kumtoa Laudi Mavugo na Shizya Kichuya huku nafasi zao zikichukuliwa na Jamal Mnyate pamoja na Hijja Ugando.

Simba sc ipo  kileleni mwa  kundi A ikiwa  na alama  7 huku ukiwa ikiwa timu zote Simba na Ura zimebakisha mchezo mmoja

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top