Simba damu fans Simba damu fans Author
Title: BOKUNGU AIPELEKA SIMBA FAINALI
Author: Simba damu fans
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya soka ya Simba sc imetinga hatua ya fainali katika kombe la mapinduzi baada ya kuifunga ti...
Timu ya soka ya Simba sc imetinga hatua ya fainali katika kombe la mapinduzi baada ya kuifunga timu ya Yanga kwa matuta 4-2,awali timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana mpaka mpira unaisha.

Mpaka dakika 90 hakuna timu iliyofanikiwa kutikisa nyavu za mwenzake mwamuzi Mfaume Ally akaamuru kuopigwa.

Simba imeingia katika hatua ya fainali itakuja kucheza na Azam katika hatua hiyo baada ya kushinda mikwaju ya penati 4-2 waliopiga za Simba ni  Denis Agyei,bukungu,mkude na Mzamiru huku penati  ya mwanjali akikosa

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top